Mwanaume apatikana amefariki kwenye chumba cha kukodisha Chemosot

  • | Citizen TV
    1,180 views

    Mwanaume mwenye umri wa miaka 39 alipatikana amefariki baada ya kujitia kitanzi ndani ya nyumba ya kukodisha katika eneo la Chemosot, Bureti, kaunti ya Kericho.