Mwili wa Tompoi Kaetuai uliwasili JKIA jana usiku

  • | Citizen TV
    4,830 views

    Mwili wa marehemu afisa wa polisi Samuel Tompoi Kaetuai, aliyeuawa nchini Haiti wakati wa operesheni ya amani, uliwasili Nairobi jana jioni