Mzozo Siakago: Wakazi wa Cianyi wavamia kituo cha polisi kutaka haki

  • | NTV Video
    481 views

    Mzozo mkali ulizuka katika kituo cha Polisi cha Siakago katika kaunti ndogo ya Mbeere Kaskazini, kaunti ya Embu, huku maelfu ya wakazi kutoka kijiji cha Cianyi eneo la Gitiburi wakivamia kituo hicho, wakitaka haki baada ya kufurushwa usiku wa manane.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya