Mzozo wa Ardhi I Familia ya Magugu yadai imepokonywa ardhi

  • | KBC Video
    219 views

    Mjane wa waziri wa zamani marehemu Arthur Kinyanjui Magugu ametoa wito kwa rais William Ruto kumsaidia kurejesha ardhi yake ya ekari-82 aliyopokonywa. Margaret Wairimu Magugu mwenye umri wa miaka-82 anadumisha kuwa ardhi hiyo ilinyakuliwa mwaka-1993 na walaghai waliotumia stakabadhi ghushi. Juhudi zake za kutumia mahakama na taasisi nyingine za serikali kusuluhisha suala hilo zimegonga mwamba tangu mwaka-2018.

    onnect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive