Mzozo wa Sanduku lililokuwa na zaidi ya hati miliki mia nne ya wanachama wa shamba la Imbirikani

  • | Citizen TV
    155 views

    Viongozi wa Kisiasa katika kaunti ya Kajiado wanamtaka Waziri wa usalama pamoja na inspekta mkuu wa Polisi kuingilia kati na kusaidia kurejesha sanduku linalodaiwa kuibiwa katika kituo cha polisi cha Kimana. Sanduku hilo lilikuwa na zaidi ya hati miliki mia nne ya wanachama wa shamba la malisho la Imbirikani