MAUAJI YA WAKILI MBOBU
Familia ya wakili Kyalo Mbobu aliyeuawa kwa kupigwa risasi jana inawataka maafisa wa polisi wachukue hatua za haraka kumkamata aliyehusika na shambulizi hilo jijini Nairobi. Akiongea katika sehemu ya Salama, kaunti ndogo ya Kilome kaunti ya Makueni, mamaye marehemu wakili huyo, Anne Mbelete, anasema familia yake ina majonzi tele kufuatia mauaji ya mpendwa wao. Idara ya upelelezi jijini Nairobi inakusanya ushahidi kuhusiana na mauaji hayo. Joseph Wakhungu ana maelezo zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive