Ni mwisho wa kushuka hadhi ya Marekani, asema Trump

  • | VOA Swahili
    93 views
    Kuanzia hivi sasa na kuendelea, ni mwisho wa kushuka hadhi ya Marekani. Uhuru wetu na hatima ya fahari ya taifa letu haitaweza kuzuiliwa, na mara moja tutarejesha heshima, ustadi na uaminifu wa serikali ya Marekani. -AFP #voaswahili #afrika #trump #kiapo #marekani