Nicholus Omollo atawazwa kuwa hatibu wa jamii ya Batsotso

  • | KBC Video
    66 views

    Wazee wa jamii ya Batsotso katika kaunti ya Kakamega wametoa wito kwa serikali itenge pesa za kufadhili shughuli zinazohimiza tamaduni nzuri.Wakati wa tamasha ya tamaduni wazee hao walisema maisha ya kisasa yameangamiza baadhi ya tamaduni za kiafrika na ipo haja ya kuzirejesha kwa minajili ya ufanisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive