NTSA yaanza vikao na wadau kupokea maoni ya wadau kuhusu sheria mpya za usafiri wa magari ya shule

  • | Citizen TV
    97 views

    Mamlaka ya usafiri wa umma NTSA imeandaa vikao vya umma katika kaunti ya Meru na kushirikisha kaunti za Tharaka Nithi, Isiolo na Marsabit, ili kupokea maoni ya wadau kuhusu sheria mpya za usafiri wa magari ya shule pamoja na Trela zenye uzani wa zaidi ya tani tatu.