Oscar Sudi awasamehe vijana walioingia kwa nguvu katika klabu yake

  • | Citizen TV
    1,355 views

    Vijana wa Gen Z waliokuwa wameshtakiwa kwa uharibifu wa jumba la burudani la Timber Xo linalomilikiwa na mbunge wa Kapsaret Oscar Sudi mjini Eldoret, wakati wa maandamano ya mwaka jana, hatimaye wameachiliwa huru