Pillapilka za kufungua shule

  • | Citizen TV
    537 views

    Shule zikipangwa kufunguliwa kwa muhula wa kwanza wiki ijayo, maandalizi ya ufunguzi wa shule yameng'oa nanga huku wazazi wakiwa katika pilka pilka za kutafuta vitabu na sare za wana wao. Wazazi wa wanafunzi wa gredi ya tisa wanakabiliwa na changamoto ya kupata vitabu vyote vinavyohitajika. Na kama vile emily chebet anavyoarifu, wafanyibiashara wa vitabu wanasema kuwa kuna uhaba wa vitabu na baadhi ya wazazi hawajapata orodha kamili ya vitabu hivo.