Piny Luo Cultural Festivals kuanza kwa kishindo, NTV itapeperusha moja kwa moja Siaya

  • | NTV Video
    2,424 views

    Sherehe za siku tatu za kitamaduni zinazojulikana kama Piny Luo Cultural Festivals zinatarajiwa kuanza kwa kishindo na kikosi chetu cha NTV kimefika kaunti ya Siaya kwa hafla hiyo ambayo itapeperushwa moja kwa moja hapa NTV.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya