Wazazi na wanafunzi Uasin Gishu wamtaka Jaji Koome kuingilia kesi ya masomo ya Finland

  • | NTV Video
    598 views

    Wazazi pamoja na wanafunzi walioathirika na mpango wa serikali ya kaunti ya Uasin Gishu kufadhili elimu yao kwenye mataifa ya kigeni wamemtaka jaji mkuu Martha Koome kuingilia kati na kuharakisha kesi ambayo imechukua muda ikatamatishwa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya