Timu ya Aquinas Juniors ilitwaa taji la naibu Inspekta Jenerali, Gilbert Masengeli,katika mashindano

  • | Citizen TV
    373 views

    Timu ya Aquinas Juniors ilitwaa taji la naibu Inspekta Jenerali, Gilbert Masengeli, katika mashindano yaliyofanyika eneo la saboti, kaunti ya Trans Nzoia. Aquinas Juniors iliishinda kapsagam juniors kwa bao moja kwa bila katika fainali ya kusisimua. kwa upande wa kina dada, timu ya red arrow ilishinda taji hilo baada ya kuibwaga blessed starlets mabao 4 kwa 2 kupitia mikwaju ya penalti. Mchuano huo unatarajiwa kuandaliwa kila mwaka.