Serikali ya Kiambu kujenga hospitali 20 mpya, iongeze uwezo wa kulaza wagonjwa 1,500

  • | NTV Video
    273 views

    Serikali ya kaunti ya Kiambu iimesema inajizatiti kujenga hopsitali zaidi akisema kufikia sasa anasema zaidi ya hospitali 20 mpya za ngazi ya nne na ya tatu zimejengwa na kufikia zaidi ya asilimia 80, na ambazo zikikamilika, zitaongeza uwezo wa kulazwa wagonjwa zaidi ya 1,500.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya