Talanta za Vijana Taita Taveta

  • | Citizen TV
    739 views

    Washikadau wa spoti kaunti ya Taita Taveta wakiongozwa na vijana wameikashifu idara ya vijana, tamaduni, michezo na huduma za jamii ya kaunti hiyo kwa kufeli kukuza talanta za vijana. Vijana hao wakitaka viongozi kuwekeza zaidi kwenye miradi ya kukuza talanta za vijana mashinani.