Polisi kutumia picha ya hologramu kufufua kesi ya mauaji

  • | BBC Swahili
    497 views
    Bernadette ‘Betty’ Szabo aliuawa kwa kuchomwa kisu kwenye danguro moja huko Amsterdam mwaka wa 2009. Alikuwa na umri wa miaka 19 na alikuwa amejifungua miezi michache iliyopita. Mauaji yake, katika moja ya maeneo yenye shughuli nyingi zaidi Uholanzi, yamewashangaza polisi kwa miaka 15. #bbcswahili #uholanzi #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw