Barry Otieno ajiuzulu baada ya Harambee Starlets kutofuzu AFCON kutokana na kashfa

  • | NTV Video
    86 views

    Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa shirikisho la Kandanda Barry otieno amejiuzulu kutokana na kashfa iliyofanya Harambee Starlets kutofuzu kombe la AFCON huku akidai kuwa alifanya alivyoambiwa na kamati ya muda iliyokuwa mamlakani wakati huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya