Biashara I Serikali yahimizwa kutekeleza sera mpya za ushuru

  • | KBC Video
    34 views

    Sera zisizobashirika za ushuru na urasimu mwingi zinatatiza uwekezaji nchini Kenya. Mwenyekiti wa BIDCO Afrika Vimal Shah anasema serikali inapasa kutekeleza sera mpya za ushuru ambazo zimecheleweshwa ili kuwavutia uwekezaji zaidi. Fredrick Muoki ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive