- 13,390 viewsDuration: 1:03Polisi waliojihami kwa silaha za kuzuia ghasia wamezingira maeneo ya Chuo Kikuu cha Antananarivo nchini Madagascar - na kuweka vizuizi katika barabara za kuingia chuoni hapo. Waandamanaji vijana nchini humo wamepanga kuanza maandamano hayo kutoka eneo hilo la Chuo Kikuu cha Antananarivo - na ndio maana polisi wamepazingira. Nini kitatokea? Mwandishi wa BBC @~Sammy amekita kambi katika chuo hicho tayari kukuhabarisha. Endelea kufuatilia mitandao ya kijamii ya BBC Swahili. - - #bbcswahili #malaysia #maandamano #genz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw