Polisi waweka kizuizi Kitengela, helikopta zikizunguka baada ya maandamano ya utekaji nyara

  • | NTV Video
    7,947 views

    Katika kaunti ya Kajiado, maafisa wa polisi waliweka kizuizi kwenye barabara katika lango la mji wa Kitengela kando ya mji wa Namanga huku helikopta ya polisi ikizunguka kufuatilia hali ilivyo baada ya maandamano ya kupinga utekaji nyara.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya