Rais William Ruto azungumzia mapigano ya DRC

  • | Citizen TV
    215 views

    Rais William Ruto amesema mkutano wa Jumamosi Mjini Dar Es Salam kati ya jumuiya afrika mashariki na jumuiya ya afrika kusini SADC umekubaliana kuwa na mazungumzo kati ya serikali ya DRC na wapiganaji wa M-23 pamoja na mkutano mwingine kati ya DRC na Rwanda ili kutatua zogo hilo