Seneta wa Baringo William Cheptumo aaga dunia

  • | Citizen TV
    889 views

    Risala za rambirambi zimeendelea kutolewa kufuatia kifo cha Seneta wa Baringo William Cheptumo aliyeaga dunia baad ya kuugua kwa muda. Rais William Ruto akiwaongoza viongozi kumkumbuka seneta Cheptumo kuwa mtu aliyejituma kutumikia taifa na wakaazi wa Baringo