Serikali kushughilikia hitilafu za SHA

  • | KBC Video
    92 views

    Wizara ya afya imewahakikishia wakenya upatikanaji bora wa huduma za matibabu baada ya ununuzi wa sava mpya itakayosaidia kushughulikia changamoto za mfumo katika halmashauri ya afya ya jamii (SHA). Waziri wa afya Dkt. Deborah Barasa amesema licha ya changamoto zilizopo katika uzinduzi wa mpango wa Taifa Care, zaidi ya wakenya nusu milioni wamenufaika huku takriban wengine milioni 18 wakijisajili katika halmashauri hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive