- 454 views
Serikali ya Kitaifa na Ile la Kaunti ya Kajiado zimepiga marufuku shughuli zozote za Ugavi wa shamba la Malisho la Rombo ambao uliendeshwa miaka mitatu iliyopita na hata hati miliki kutolewa kwa wanachama zaidi ya Elfu Sita hadi pale mahakama itatoa uamuzi wake. Wakitoa Tangazo hilo Kwenye mkutano ulioandaliwa kwenye shamba hilo lenye ekari elfu 94,500, Kamishana wa Kajiado James Taari na Gavana wa Kaunti hiyo Joseph Ole Lenku wanasema kumekuwa na hali ya wasi wasi baada ya baadhi ya wanachama kuhisi wamedhulumiwa na sasa shuguli zote zitasimama hadi pale mahakama itatoa mwelekeo.
Serikali ya Kajiado na ya kitaifa zasitisha ugavi wa shamba la Malisho la Rombo
- - Hatima ya Gachagua ››
- 23 Oct 2024 - Four senior Taita Taveta County officials arrested on Tuesday over the alleged theft of Ksh.7 million public funds in the pretext of commemorating the First World War are due in court on Wednesday.
- 23 Oct 2024 - The Kenyan Network of Cancer Organizations (KENCO) and Cancer Survivors Association of Kenya have united to petition the government to restore full access to cancer treatment services.
- 23 Oct 2024 - Israel on Tuesday confirmed it had killed Hashem Safieddine, the heir apparent to late Hezbollah leader Hassan Nasrallah who was killed last month in an Israeli attack targeting the Iran-backed Lebanese militant group.
- 23 Oct 2024 - A one-year-old child died while 14 passengers were hospitalised in serious condition after a truck rammed into a matatu along the Narok-Maimahiu road in the Pinyinyi area of Narok County on Tuesday night.
- 23 Oct 2024 - A one-year-old child died while 14 passengers were hospitalised in serious condition after a truck rammed into a matatu along the Narok-Maimahiu road in the Pinyinyi area of Narok County on Tuesday night.
- 23 Oct 2024 - The E. coli outbreak, linked to one of McDonald's most popular menu items, has sickened 49 people and sent 10 to the hospital, officials say.
- 23 Oct 2024 - The youngster aced her competitors to win the award.
- 23 Oct 2024 - Hashem's prominence grew during recent conflicts, notably addressing rallies and showing support for Hamas during the Gaza war.
- 23 Oct 2024 - JPMorgan Chase CEO Jamie Dimon remains cautious about publicly expressing this possibility.
- 23 Oct 2024 - Parents face mounting costs as exams season draws