Shughuli za masomo katika vyuo vikuu kadhaa zakwama kabisa nchini kutokana na mgomo wa wahadhiri

  • | Citizen TV
    302 views

    Mgomo Wa Wahadhiri Na Wafanyakazi Wa Vyuo Vikuu Nchini Unapoingia Wiki Ya Pili Sasa, Shughuli Za Masomo Katika Vyuo Vikuu Kadhaa Zimekwama Kabisa. Wanafunzi Wakielezea Hofu Yao Kutokana Na Hali Hiyo Huku Serikali Ikiahidi Kupata Suluhu Ya Kudumu Kufikia Kesho.