Shuguli za masomo zasitishwa Maasai National Polytechnic

  • | Citizen TV
    364 views

    Shuguli za masomo katika chuo Cha Kiufundi Cha Maasai National polytechnic zimetatizika kuanzia Leo asubui baada ya wanafunzi kuandamana wakilalamikia usimamizi mbaya wa chuo hicho.Maandamano hayo yameathiri usafiri kwenye Barabara kuu ya Namanga.