Tathmini ya Kenya Kwanza kuhusu nyumba nafuu yakosolewa na chama cha wahandisi wachoraji

  • | NTV Video
    1,571 views

    Tathmini ya serikali ya Kenya Kwanza kuhusu mpango wa nyumba nafuu umevutia ukosoaji, kutoka kwa chama cha wahandisi wachoraji ambacho kinasema serikali inaonekana kupongeza mpango huo kama mpango wa ajira, ilhali hakuna nyumba hata moja iliyokabidhiwa tangu 2022.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya