Trump asema ataiwekea vikwazo Russia kama Putin hatafanya mashauriano na Ukraine

  • | VOA Swahili
    47 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumanne kuna uwezekano wa kuiwekea vikwazo Russia kama rais wa Russia , Vladimir Putin, atakataa kufanya mazungumzo kumaliza vita nchini Ukraine. #trump #russia #ukraine #reels #voa