Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imewakamata maafisa 8 wakuu kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    278 views

    EACC imewakamata maafisa 8 wa Tana River wanane hao wamekamatwa kuhusiana na ulaghai wanatuhumiwa kwenye sakata ya zabuni ya ksh. 9m