Uamuzi kuhusu kesi ya kupinga kubanduliwa kwa Gachagua kutolewa kesho

  • | KBC Video
    1,050 views

    Naibu rais aliyeondolewa madarakani Rigathi Gachagua ameiandikia idara ya mahakama barua, akiitaka uchunguzi ufanywe kuhusu jinsi moja ya kesi zinazopinga kuondolewa kwake mamlakani ilikabidhiwa jopo la majaji watatu bila idhini ya jaji mkuu. Katika barua hiyo iliyoandikiwa naibu msajili wa mahakama kuu, Gachagua kupitia wakili wake John Njomo, amesema kuna njama ya kuhujumu haki zake

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive