Ujenzi wa awamu ya tatu wa barabara ya Dongo Kundu wakamilika

  • | Citizen TV
    536 views

    Ujenzi wa barabara ya Dongo Kundu awamu ya tatu umekamilika. Barabara hiyo inaunganisha kaunti ya Mombasa na Kwale imetajwa kuwa na afueni kubwa hasa kwa usafiri utalii na kupunguza msongamano katika kivuki cha Likoni.