Ukosefu wa Ajira Nyandarua: Vijana wajitokeza kutafuta ajira katika mataifa ya Uarabuni

  • | Citizen TV
    56 views

    Mamia ya vijana leo wamejitokeza katika Chuo cha kiufundi cha Kitaifa cha Nyandarua kwa shughuli za kuajiriwa kazi nje ya nchi. Vijana hawa kutoka meone ya Ol-Joro Orok walijitokeza kujaribu bahati yao ya kupata kazi katika mataifa ya Uarabuni baada ya nafasi hizo kuwa nadra humu nchini.