Upande wa mashtaka wapinga Sarah Cohen kuachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    169 views

    Sarah Wairimu anayekabiliwa na shtaka la kuhusika na mauaji ya mumewe Tob Cohen mwaka wa 2019 atasalia rumande hadi tarehe 18 feberuari wakati mahakama itatoa uamuzi iwapo ataachiliwa kwa dhamana.