Vijana 1000 watayarishwa kwa wiki 3 ili kuwapa mwongozo wa kuzichagua kozi watakazozifanya

  • | NTV Video
    77 views

    Wakati wengi wa vijana wanaendelea kutaabika kwa kukosa kozi zinazoweza kuwapa maarifa ya kujiajiri, mjini Machakos mambo yanachukua mkondo tofauti.

    Hapa kikosi cha vijana alfu moja wametayarishwa kwa wiki tatu ili kuwapa mwongozo wa kuzichagua kozi watakazozifanya ili kujikwamua maisha.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya