Vijana kutoka jamii maskini Marsabit wapewa mafunzo ya kazi.

  • | Citizen TV
    35 views

    Zaidi ya wanafunzi mia moja wamefuzu na vyeti vya masomo ya kompyuta katika eneo la Saku Kaunti ya Marsabit, chini ya mpango wa Ebisa unaowalenga wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka uliopita na kukosa uwezo wa kuendelea na elimu ya juu