Vijana wahimizwa kutafuta kazi za kidijitali

  • | KBC Video
    10 views

    Vijana wametakiwa kutumia talanta na ubunifu wao kukabiliana na tatizo la uhaba wa ajira humu nchini. Nyawira Kiruri ambaye ni mkurugenzi wa shirika la kuwaanda vijana kwa maendeleo amewataka vijana kutumia ujuzi wa kiteknolojia kujitafutia ajira katika sekta mbali mbali zikiwemo kilimo. Akiongea wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana mjini Machakos, alisema yeye na washirika wake wanahimiza serikali kuwahusisha vijana katika ujenzi wa taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive