Vijana waliotekwa wapatikana wamefariki, Rais Ruto atakiwa kuchukua hatua

  • | NTV Video
    1,501 views

    Huku baadhi ya vijana waliotekwa nyara wakipatikana wamefariki, Rais William Ruto anatakiwa kufanya hima kuhakikisha utekaji unatokomezwa na badala yake usalama wa wananchi unaimarishwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya