Viongozi wa dini Tana River wakashifu vikali utekaji nyara, wakiutaja tishio kwa usalama

  • | NTV Video
    1,541 views

    Viongozi wa kidini katika kaunti ya Tana River wamekashifu vikali utekaji nyara unaoendelea nchini, huku wakisema kuwa vitendo hivi vinatishia usalama wa raia na kuleta hofu katika jamii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya