Viongozi wa Kaunti wamshutumu kwa njama ya ufujaji pesa.

  • | Citizen TV
    40 views

    Viongozi mbalimbali wa kisiasa kutoka Kaunti ya Nyamira wameendelea kumsuta Gavana wa Kaunti hiyo Amos Nyaribo, kwa madai ya ufujaji wa zaidi ya shilingi milioni 700 kama iliyobainika kwenye ripoti ya mhasibu mkuu wa serikali Nancy Gathungu