Vyanzo vya kukabiliana na milipuko mipya ya magonjwa

  • | BBC Swahili
    393 views
    Janga la Covid 19,lililoikumba dunia na kuyumbisha shughuli za kiuchumi na kijamii Duniani, limeacha somo jipya kwa bara la Afrika. Taasisi ya udhibiti wa magonjwa na kinga, inahakikisha wanatumia vyanzo vya fedha vya ndani ya bara, katika mwendelezo wa kukabiliana na milipuko mipya kama vile Ebola na hivi karibuni Monkey Pox. Mkurugenzi mkuu wa AFRICACDC Dr.Jean Kaseya anabainisha zaidi kama alivyozungumza na BBC #bbcswahili #afya #CDCAfrica Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw