Wadau washinikiza juhudi zaidi za kukomesha dhulma

  • | Citizen TV
    216 views

    Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma imesema inaendesha mashtaka 892 ya visa vya watoto kunajisiwa katika eneo la Pwani yalitekelezwa mwaka wa 2023 na 2024.Washikadau kwenye vita vya dhulma dhidi ya wanawake na watoto wamesema juhudi zaidi zinafaa kuongezwa kukomesha dhulma hizo. Naibu mkurugenzi wa mashtaka ya umma Hassan Abdi amesema kufaulu kwa kesi zinazohusu dhulma za kijinsia kutategemea pakubwa ushahidi unaopatika wakati wa uchunguzi wa visa hivyo.