Wafanyakazi wa KBC watoa risala zao kufuatia kifo cha Mambo Mbotela

  • | KBC Video
    275 views

    Shirika la utangazaji la Kenya na tasnia ya uanahabari kwa jumla inaomboleza kifo cha mtangazaji nguli Leonard Mambo Mbotela ambaye alihudumia shirika hili kwa zaidi ya miaka 60. Mbotela aliyefariki leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 85 ametajwa na wafanyakazi wenzake na washirika wake wa karibu kuwa mshauri na mtu ambaye alikuwa mcheshi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive