Wafungwa walivyotoroka gerezani Indonesia

  • | BBC Swahili
    249 views
    Tazama video hizi zilizochukuliwa na wenyeji zikionesha namna wafungwa walivyotoroka gerezani huko Indonesia Takriban wafungwa 53 walitoroka kutoka kwenye gereza la Kutacane huko Aceh, baada ya kuvunja milango mkubwa wa kituo siku ya Machi 10. Wafungwa Ishirini na mmoja kati yao wamejisalimisha na wengine kukamatwa. Tukio hilo linahusishwa na maswala ya msongamano katika gereza hilo linaweza kuchukua watu 100, ambapo vyombo vya habari vya ndani vinaripoti kuwa kwa sasa kuna wafungwa karibu 368. #bbcswahili #indonesia #sheria