Wakaazi wa Kilifi wamewataka viongozi wahubiri amani

  • | Citizen TV
    453 views

    Wakaazi wa eneo la Ganda kaunti ya Kilifi wamewataka viongozi wahubiri amani baina ya wakaazi kufuatia usambazaji wa makaratasi yaliyochapishwa chuki na uchochezi katika wadi hiyo.