Wakaazi wa Machungwani wataka wagawiwe ardhi

  • | Citizen TV
    307 views

    Wakulima zaidi ya 5000 kutoka eneo la machungwani kaunti ya Taita Taveta wanaishi kwa hofu ya kufurushwa kutoka ardhi wanayoishi yenye ekari 2700. Vuta nikuvute ikizidi kushuhudiwa kuhusu ugavi wa shamba hilo lililokuwa limekodishwa kwa miaka 99. Keith simiyu alizuru eneo hilo na kuandaa taarifa ifuatayo.