Wakazi Isiolo wapata afueni ya maji

  • | KBC Video
    15 views

    Kizaazaa kilizuka katika shule ya msingi ya Lugulu huko Butula baada ya wanafunzi kuwafurusha wazazi waliovamia shule hiyo kwa fujo wakidai uadilifu haukuzingatiwa katika utaratibu wa utoaji zabuni kwa wanakandarasi katika shule hiyo.Wakazi walimshutumu mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa madai ya upendeleo wakati wa utoaji zabuni za miradi ya ujenzi shuleni humo. Vurumai hiyo baina ya wanafunzi na wakazi ulisitisha shughuli za masomo kwa saa kadhaa, wanafunzi hao wakiwashutumu wakazi kwa kuvuruuga masomo yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive