Wakenya katika sekta ya Jua Kali wanaweza kuthibitisha rasmi ujuzi wao bila hitaji la kuwa na cheti

  • | K24 Video
    34 views

    Wakenya katika sekta ya Jua Kali sasa wanaweza kuthibitisha rasmi ujuzi wao bila hitaji la kuwa na cheti ,uthibitisho huo ukipania kuwapa fursa yakupata kazi katika sekta nyinginezo rasmi .