Wakulima Siaya wajihusisha kwenye ufugaji wa kuku

  • | Citizen TV
    364 views

    Wakulima katika Kaunti ya Siaya wamepiga hatua kubwa kwenye ufugaji wa kuku ambapo sasa wanafuga ndege hao kwa kiasi kikubwa. Baadhi ya wafugaji katika eneo hilo tayari wamewafunza zaidi ya wakulima 3,000 jinsi ya kutumia mbinu endelevu na za kısasa kufuga kuku wengi.