Wakulima wa ndizi Taita Taveta wapata afueni

  • | Citizen TV
    152 views

    Kupitia mpango wa kuzalisha mbegu za kisasa za ndizi, wakulima wamepunguziwa changamoto za gharama kubwa ya kutafuta miche hiyo. Kwenye uzinduzi wa mpango huo katika chuo kikuu cha Taita Taveta wadau katika sekta ya kilimo walisema kuwa mradi huo utapiga jeki kilimo cha ndizi kaunti hio kwa kuongeza mazao na kupanua wa soko la ndizi.